You are here: Home

Chombo Chetu Edition 48

Wacheni kumuibia Mungu asema askofu

Mkristo yeyote anaekosa kumtolea Mungu fungu la kumi anamuibia Mungu. Haya yalisemwa na Askofu Mstaafu Joseph Kanuku wakati wa ibada maalum ya kuwapa mashemasi na makasisi daraja Disemba, 2016. Askofu akihubiri juu ya Eli na watoto ambao walienda kinyume cha neno la Mungu wakapata shida , aliwahimiza wakristo kuzingatia neno la Mungu juu ya kumtolea sehemu ya mali yao kama wanataka baraka. Askofu alisema wakristo wengi hawazingatii maandiko juu ya kumtolea Mungu wakisema hawana .

To read more please purchase your copy of the Chombo Chetu @Ksh 50 at any parish or visit the Diocesan office in Voi (Ekklesia House)

Find us on Facebook

Tweet us (2)

ackttvt We thank God for a successful ACK Taita Taveta Diocesan Mother's Union Charity Walk 2018.
ackttvt Anglican Church of Taita Taveta moves digital...
Chalasah Designed It.